Sunday, November 15, 2009

WADAU MNAMKUMBUKA HUYU JAMAA??


Jamaa Huyu alitikisa sana Bongo kwa upikaji wa Beats,anakwenda kwa jina la Mika Mwamba. sasa yupo nchini Finland,amekuwa akiandaa show za ukweli na wasanii wa Bongo kama Dudu pamoja na Benjamin wa Mambo jambo

No comments:

Post a Comment