Sunday, November 15, 2009

KOMBE LA BACLAYS PRIMIER LEAGUE


Wadau na washibiki wa Ligi ya englend nchini Tanzania walikuwa na furaha baada ya kulipokea kombe la Baclays Primier League jumapili ya November 08 2009,na kupiga nalo picha Live.

Jumamosi ya tarehe 21 November 2009,Kombe la Fifa La Dunia Litatua tena nchini Tanzania na kupokelewa na mgeni rasmi raisi Jakaya M.Kikwete

No comments:

Post a Comment