Monday, November 16, 2009

pacquiao vs cotto


King Manny Pacquiao bingwa ngumi uzito wa welter weight usiku wa 15th November alionyesha umwamba wake katika ngumi baada ya kumchapa bingwa mtetezi wa uzito wa welterweight Miguel Cotto, Pacquioao raia wa Phillipine amesema anatka kuonyesha kiwango chake katika mchezo wa ngumi na kuweka historia pale atakapokuatan na Floyd Mayweather 2010.

No comments:

Post a Comment